YAANI wewe unaliamini jeshi kisa walikuwa sambamba na wananchi?
Jeshi lilioshindwa kuzuia wanajeshi wanaotoka nje kuingia ndani wanajiita walinda mipaka hawahusiki ndani iliwezekanaje wanajeshi WA kiganda kuingia ndani? Watanzania mjue shilingi ilishatembea na imetembea mule jeshini hakuna wazalendo.
YAANI mnasema mnaheshimu katiba wakati wazi wazi Kuna WATU hawaheshumu katiba na hamujawawajibisha.
Unasikia mtu anasema kazi ya jeshi kulinda mipaka wakati huo wanain3gia ndani wanajeshi WENGINE kuua watu