Some comments hurt! A little sensitivity goes a long way

wakati watoto wana toka kwenye maji wanakuja ndo walikuwa wanatema huo utumbo.

And I aint a brother hun.

Thanks though for your contribution.
 

mama I was livid!!
 
Aisee nimecheka sanaaaa...anyway...shukuru pia kuwa dogo amejaaliwa...
Siungi mkono wale wanaosema watoto wengine wabaya!!!

lols, sasa kimekuchekesha nini?

Sio wanaowasema watoto tu.

Hujawasikia wanaokosoa maumbile ya wenzao kama wamewaumba wao?
 
lols, sasa kimekuchekesha nini?

Sio wanaowasema watoto tu.

Hujawasikia wanaokosoa maumbile ya wenzao kama wamewaumba wao?

Daaaahh...kwakweli hii post yako ni kali ya mwaka...Ikifuatiwa na ya yule jamaa aliyepewa kipondo na wanajeshi baada ku kuegesha gari vibaya....anyway.. sasa wewe kwanza inakuwaje unakosa usingizi kwa vitu kama hivyo? Ulipaswa kusheherekea dogo amefunga mpini !
 
Kuwazuia wanadam wasifikirie na kuongea wanachojisikia ni kazi ngumu, sanasana wewe ndio utaishia kuokota makopo kama ulivyokuja kushusha povu lako la mijihasira hapa jamvini.

Inawezekana (najaribu kuwaza kwa sauti) huyo dogo anaweza kuwa na mzigo ambao sio wa kawaida kwa mtoto wa umri wake na wewe haujabaini hilo.

Ushauri wangu mpeleke hospitali wakamuangalie asije kukua na ngoma nayo ikawa kubwa kushinda mguu mkakosa namna ya kumsitiri.
 
Hao walikuwa hawamsemi mtoto wala nini....they were just envying you, Karucee...kwamba inawezekana umelamba dume huko home...!


I thought you would have taken it positively and a great pride!
 
Last edited by a moderator:
Ungewaonesha the mighty mid.dle finger
 
wakati watoto wana toka kwenye maji wanakuja ndo walikuwa wanatema huo utumbo.

And I aint a brother hun.

Thanks though for your contribution.

Sory didnt knw that haya majina yetu ya humu yanamix kimtindo,also thanx for understanding.
 
Kwanza nimecheka!

you are just being a mother my darling. Overprotective. And learn to relax manake utamtesa mke wa mwanao. Hutaki kuwaza mwanao amekua mkubwa and he is banging gals like nobody's business. Its a mare fact.

hebu uwe unafanya utani around issues na uone utakavyoenjoy maisha bila bhange. Ngoja nikufuate inbox, soon
 
huu ni mwanzo, ngoja afike 5+, na ajue ana mashine maswali yake italia

unaweza shangaa unaulizwa 'ina mfupa?'

Naungana na walosema shukuru Mungu.
 
Karucee pole sana mwaya mi naunga mkono hoja yako kuna watu wengine wanaongea chochote kile hata mbele za watoto na wala hawaoni taabu,sipendi kabisa hii kitu na kwa kweli mimi nikimkuta mtu anamwongelesha mwanangu pumba atanisoma tu liwalo na liwe hata mawe nitaokota,wajinga kweli.

halafu na hiyo tabia ya kumsema mtu mara miguu kama fimbo za kirumi,ohh sura kama anajisaidi inaboa sana bora hata kama mnataka kusema subirini basi mtu wa watu apite ndo muongee pumba zenu,kwani yeye alijichagulia huo mwaonekano?khaaaaaa boring aiseeee.
 
Last edited by a moderator:

lols. Overprotective defines me. and obsession with my little son.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…