Some Awesome New tv Series in Town

Expect the following tv series this september and October.
1).person of interest s03
2).Revolution s02
3).Elementary s02
4).Once upon a time s03
5).The vampire diaries s05
6).Beauty and the beast s02
7).Arrow s02
8). Grimm s03
 
Kunamtu humu aliwahi kuweka link ya IRIS season two je mnaweza kutusaidia links za movie nyingine?
I'm interested with Korean Secret Agency yeyote mwenye link please

Mkuu City Hunter ipo powa kinoma kama unapenda series za Kikorea

Series yoyote ukitaka kudownload nenda Torrent sites zipo za kumwaga
Chakufanya hakikisha una Utorrent kwenye PC yako hapo unaweza kudownload kwa kuchagua labda epsode 3 kwa siku au kama una mambo ya VPN hata season unashusha kwa usiku mmoja
 

Sikuwahi kuangalia series hapo kabla, nilikua naangali movies tu mwanzo mwisho
Nilipokuwa chuo nikawa naona washkaji wengine hawalali, anasoma hadi saa 6 kisha anatoboa hadi morning kakomaa na 24
Nilipo maliza chuo nikasema ngoja niiangalie.........dahh ni noma

Baada ya hapo nikawa nimeathirika kila series niliyoangalia nikawa nafananisha na 24 naona hamna kitu, ilinichukua muda kuja kugundua kuna series nzuri zaidi ya 24
 
Aaah hiyo strick back me naona ya kawaida tu,,, tafuta HOME LAND,,,

strike back iko poa sana huwezi kuifananisha na homeland...action mwanzo mwisho
na kuigizia in different locations inaongeza uhondo kdg
 
well it depends with what u really want to c ila hii list hapa ni noma,nimecheki zote and still watching kila zikiendelea;
1.Homeland
2.Suits
3.White Collar
4.Scandal
5.The Following
6.Ringer
7.Crossing Lines
8.Ray Donovan
9.House Of Cards
 
Kunamtu humu aliwahi kuweka link ya IRIS season two je mnaweza kutusaidia links za movie nyingine?
I'm interested with Korean Secret Agency yeyote mwenye link please
  • Hii hapa Korea Secret Agency
Code:
[B][URL="http://drama.watchanimeon.com/korea-secret-agency"]Korea Secret Agency[/URL][/B]

 

Pia Homeland season 3 imeanza kutoka.
Bonge la series
 
Expect the following tv series this september and October.
1).person of interest s03
2).Revolution s02
3).Elementary s02
4).Once upon a time s03
5).The vampire diaries s05
6).Beauty and the beast s02
7).Arrow s02
8). Grimm s03

ThE. MentAlist s6,,,,,
 
Mie hua mgumu sana kubadilisha series,,,ila kuna ambazo nimeziweka kwenye list ya must ku watch next time nikimaliza series zangu ni
Dexter! Suits !person of interest
Ilaaaa jaman plz jitahidini kuchek THE mENtAliSt,,_utajifunza human psychology adi rahaa
 
KUNA The walking dead / Breaking Bad /Terra Nova/Mets/A man called God/yaani za kumwaga ingi glowgaze.com/‎
 
Marvel agent of shield
Person of interest,
The blacklist
Ni seriez za action
Kama hujaziona anza kuzitafutaa.
Hutajuta.
 
Ebanaa ehhh..!! Person of interest sijapata kuiangalia season 3., pia hii beauty and the beast nimrishia season 1, once upon time naitaman sana kuangalia season 3.. Yaaani zote hzo nimeishia nusu!!


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Missing na Traveller aisee sijui kwanini walizifanyia roho mbaya hizi series

Yote kwa yote 24 ni baba lao nimekuwa nikitazama series nyingi zenye genre kama hii ya akina Bauer lakini sijafanikiwa kupata yenye viwango vya 24
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…