Lema jasho linamshuka kwani ccm Arusha hawana taimu na huo uchaguzi mpaka sasa Lema ameshaa fanya mikutano kama kumi ccm hatakutingishika bado
mkuu cable ya camera nimeisahau ofisini...kesho nitafanya hivyo
Viva LEMA na wagombea wrote wa udiwani. Mola atawasaidia mpaka mpate ushindi.
Lema jasho linamshuka kwani ccm Arusha hawana taimu na huo uchaguzi mpaka sasa Lema ameshaa fanya mikutano kama kumi ccm hatakutingishika bado
Hakuna ccm Arusha! ilishakufa zamani ndo maana mmeshindwa kuzindua kampeni kwa hofu ya kuzomewa au mkutano kudoda!
Si mlisema wanasomba watu na malori kutoka Pembezoni mwa miji na maeneo tofauti? watakosaje watu?