Somanga bado hali tete, ambapo hadi sasa hapapitiki

Somanga bado hali tete, ambapo hadi sasa hapapitiki

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
16,701
Reaction score
16,377
Mawasiliano ya barabara kuu ya Dar es salaam -Lindi yamekatika tena katika eneo la Somanga kuanzia mchana hadi jioni hii leo April 16,2025 kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha nchini ambapo hadi sasa hapapitiki.

Mmoja wa Watumiaji wa barabara ambao wapo eneo la tukio kuwa hadi wakati Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipofika eneo hilo akiwa ameambatana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stegomena Tax pamoja na Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega palikuwa panapitika lakini muda mfupi baada ya Viongozi hao kuondoka mvua kubwa imenyesha na kupelekea kutopitika.

Soma Pia: Kasheshe Somanga! Alipoenda kukesha Bashungwa na helkopta kumefurika tena, sasa ni zamu ya Ulega kutafuta kura

Kwa sasa kuna boti ndogo ya Serikali inavusha Watu lakini magari hayapiti.

 
Mainjinia wetu wanatia aibu kweli mjue, kwahiyo wamekosa akili ya kudhibiti hilo eneo mwaka wa pili sasa??
 
  • Thanks
Reactions: K11
Back
Top Bottom