MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 33,575
- 53,613
Hawatapakiwa kwa malori kiholela, huu ni mpango unaofanywa kwa ushirikiano wa UNHCR, serikali ya Somalia na ya Kenya. Hakuna atakayeshurutishwa, kila mmoja itakua kujitolea kwake. Na itachukua kipindi cha miaka mitatu, sio zoezi la wiki moja la unyama wa kuwaburuta wakimbizi.
Standard Digital News - Kenya : Governments sign agreement to repatriate Somali refugees residing in kenya
Standard Digital News - Kenya : Governments sign agreement to repatriate Somali refugees residing in kenya