Big Big Question Mkuu.Kwani malengo ya EAC ni yepi?
Labda anataka akimaliza muhula wake akimbilie Somalia kumbuka Zanzibar Mombasa Kilwa Barawa na Mogadishu zilikuwa ni Nchi moja.Huyu mama anajikombaga kwa waarabu na wasomali..ushamba na ulimbukeni na kukutojikubali..yaani anawatetemekea mpaka aibu
Never trust a womanLabda anataka akimaliza muhula wake akimbilie Somalia kumbuka Zanzibar Mombasa Kilwa Barawa na Mogadishu zilikuwa ni Nchi moja.
Hatakama ilikuwa hivyo haiwezi kuja kubadika tena [emoji4][emoji1241][emoji120]Labda anataka akimaliza muhula wake akimbilie Somalia kumbuka Zanzibar Mombasa Kilwa Barawa na Mogadishu zilikuwa ni Nchi moja.
Kwamba yeye ndo kaamua somalia ijiunge na EAC,njaa mbaya,muwe mnakul kabla ya kukomentHuyu mama anajikombaga kwa waarabu na wasomali..ushamba na ulimbukeni na kukutojikubali..yaani anawatetemekea mpaka aibu
Na SADC nako tumtegemee Jambazi gani wa kututoa huko au Makonda?Watanzania wakijua kuwa uhuru wa nchi yao pamoja na sheria za nchi yao utakuwa chini ya hii jumuia ndipo hapo itakuwa too late.
Na tukipata raisi muelewa kama JPM atatutoa huko kwenye kundi la wasiojitambua. Yani nchi maskini zimejikusanya pamoja kwa amri ya world economic forum Claus shwab ndiyo anawaamrisha tuta toka huko ngoja tupate mwamba
Kwamba yeye ndo kaamua somalia ijiunge na EAC,njaa mbaya,muwe mnakul kabla ya kukoment
Hata kama Wazanzibari wataondoka kwenye Muungano halafu wajiunge na Somalia na Mombasa na Malindi wajiondoe kwenye Mkataba wao na Waingereza halafu na wao wajiunge na himaya hiyo ya Wahabeshi.Hatakama ilikuwa hivyo haiwezi kuja kubadika tena [emoji4][emoji1241][emoji120]
Kwahiyo Legacy yake itakuwa kutuachia Machawa Nchi nzima yakifunzwa kutafuna Mirungi na maelfu ya Wahamiaji wa Kisomali?Never trust a woman