Somali woman stoned to death for adultery

Somali woman stoned to death for adultery

Mkuu umesahau kwamba alipoletwa mwanamke mzinifu mbele ya Yesu na Mafarisayo na kunukuu hiyo Torati juu ya uzinifu Yesu aliwambiaje? Si aliwataka wale washitaki kwamba yule ambaye hana dhambi awe wa kwanza kutupa jiwe kumpiga yule mama. Yesu akainama chini na alipoinuka watu wote walishapotea na kumwacha yule mwanamke na Yesu. Yesu akamwambia enenda zako usifanye dhambi tena. Sheria hii ni ya kinafiki sana ndio maana hata Wayahudi hawaitekelezi kama ilivyo sheria ya kuchinja wanyama katika siku kuu zao.

Inashangaza kwamba mambo kama haya ya kupiga wanawake mawe yanafanyika na kushabikiwa katika karne hii ya 21! With things like these who needs barbarism?

kumbukumbu ya torati 17.
Msimtolee BWANA Mungu wenu dhabihu ya maksai au kondoo ambaye ana dosari yo yote au hitilafu ndani yake, kwa kuwa hilo litakuwa chukizo kwake.
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]2[/FONT][/FONT]Ikiwa mwanaume au mwanamke anayeishi kati ya mojawapo ya miji akupayo BWANA, anakutwa anafanya uovu mbele za BWANA Mungu wenu, kwa kuvunja agano lake, [FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]3[/FONT][/FONT]naye amekwenda kinyume na agizo langu kuabudu miungu mingine na kuisujudia, kama vile jua, mwezi au nyota za angani, [FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]4[/FONT][/FONT]hili likiwa limeletwa mbele yenu, ni lazima kulichunguza kikamilifu. Ikiwa ni kweli na kuwa limehakikishwa kwamba hili ni chukizo lililofanyika katika Israeli, [FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]5[/FONT][/FONT]mchukueni huyo mwanaume au mwanamke ambaye amelifanya tendo hili ovu kwenye lango la mji wenu na kumpiga mawe mtu huyo mpaka
afe.
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]6
[/FONT]Kwa ushuhuda wa mashahidi wawili au watatu mtu huyo atauawa, bali hakuna mtu atakayeuawa kwa ushuhuda wa shahidi mmoja

na hiii jeee?
[/FONT]
 
Sasa kama ndo hivyo na nyie wafuasi wa Muhamad SAW mnaiamini bible kupitia torati, mbona huyo mwanaume hakuuawa???
Halafu yawezekana jamaa alikua anataka kuongeza mwanamke wa pili mmemkatili kwa kumuulia kipenzi chake.
 
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=MlRG9gXriVI[/ame]​
 
Hata kama kumbukumbu la torati limesema hivyo bado hakuna uhalali wa mtu yeyote kumpiga/ kumuua mwinyingi eti kwa sababu ya maandiko katika vitabu vya dini. Hebu tuwe wakweli ni nani asiye na makosa! YESU akasema anayejiona hana dhambi awe wa kwanza kutupa jiwe, je nani alithubutu kumpiga jiwe aliyesemekana amefumaniwa? Ikumbukwe torati ilikuwa ni kivuli cha kutupeleka katika AGANO JIPYA. Ndiyo maana YESU alikufa ili atimilize mapungufu yote ya torati. Nailaani kwa nguvu zote sharia laws na haitapewa nafasi Tanzania. nalaani mauaji yanayofanywa na nchi zinazofuata sharia
 
Hii sharia imekaa kishetani shetani tu. Mbona apigwe mwanamke peke yake na aliye mbaka aachwe na kuendeleza kubaka watu?
 
kama hamuamini yanayotokea katika ulimwengu wa kiibilisi wa kiislamu leteni oic na mahakama ya kadhi hapa tz muone mabomu ya kujitolea muhanga.............
 
Abu Hurayrah said that the Messenger of Allah was asked, "O Allah's Messenger! Will we have sexual intercourse with our wives in Paradise?" He said,

<The man will be able to have sexual intercourse WITH A HUNDRED VIRGINS IN ONE DAY.>
 
muda wote mnafikiri tu kuongeza wake ili baadae mshindwe kuwatmizia haki zao za kindoa na wakitoka nje ya ndoa hizo za kinafiki muwapige mawe...................nyie waqislamu mtachomwa moto vibaya.......................yaani ibilisi amewapofusha kabisa kwamba mumkane Yesu.........kweli mpinga kristo yupo sasa..............
kumbukumbu ya torati 17.
Msimtolee BWANA Mungu wenu dhabihu ya maksai au kondoo ambaye ana dosari yo yote au hitilafu ndani yake, kwa kuwa hilo litakuwa chukizo kwake.
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]2[/FONT][/FONT]Ikiwa mwanaume au mwanamke anayeishi kati ya mojawapo ya miji akupayo BWANA, anakutwa anafanya uovu mbele za BWANA Mungu wenu, kwa kuvunja agano lake, [FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]3[/FONT][/FONT]naye amekwenda kinyume na agizo langu kuabudu miungu mingine na kuisujudia, kama vile jua, mwezi au nyota za angani, [FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]4[/FONT][/FONT]hili likiwa limeletwa mbele yenu, ni lazima kulichunguza kikamilifu. Ikiwa ni kweli na kuwa limehakikishwa kwamba hili ni chukizo lililofanyika katika Israeli, [FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]5[/FONT][/FONT]mchukueni huyo mwanaume au mwanamke ambaye amelifanya tendo hili ovu kwenye lango la mji wenu na kumpiga mawe mtu huyo mpaka
afe. [FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]6[/FONT]Kwa ushuhuda wa mashahidi wawili au watatu mtu huyo atauawa, bali hakuna mtu atakayeuawa kwa ushuhuda wa shahidi mmoja

na hiii jeee?
[/FONT]
 
du!!!!!!!!!!mwanangu moto una waka..................muhammadi kwa vibikira noma..................waislamu kweli mnamwabudu allah mchafu anaehamasisha waislamu kuwasex mabinti wenu wadogo na kufagilia majini ambayo kwa jina la yesu yanakimbia..........???????????mnatafuta laana kwa nguvu? allah aliisha laaniwa na mungu na kutupwa kuzimu maana yeye ni ibilisi........nyie bado macho yamepofuka kiasi cha kushindwa kutambua kuwa mnapotoshwa....mungu awafunulie mjue ukweli...
Abu Hurayrah said that the Messenger of Allah was asked, "O Allah's Messenger! Will we have sexual intercourse with our wives in Paradise?" He said,

<The man will be able to have sexual intercourse WITH A HUNDRED VIRGINS IN ONE DAY.>
 
Waislamu wanafuata sheria za miaka elfu 10 iliyopita ambazo wayahudi ziliwashinda mpaka Mungu akawaonea huruma akamtuma Musa awaletee amri kumi za Mungu lakini waislamu wao hawazioni kama siyo kutozitaka. Ole wao wawahukumuo wenzao ingali kifuani kwao kumejawa na uchafu na majonzi matupu kutokana na uovu wao. Heri yao wao wawarekebishao watenda dhambi na kuwabariki ili waachane na hayo maovu na kumrudia Mungu. Kuna wale waliompelekea Yesu mwanamke aliyezini na kumuuliza kama ni halali apigwe mawe kwa kosa hilo. Yesu aliwaambiwa na asiyekuwa na dhambi awe wa kwanza kumpiga jiwe. Waliondoka mmoja mmoja hadi wakaisha wote na Yesu akamwambie yule mwanamke nenda zako kwa maana umesamehewa dhambi yako. Waislamu hawawezi kujifunza hata kidogo hapa? Nawashauri waende na wakati.
 
haya yote hawawezi kuyajua na kuyakubali mpaka watoke kwanza gizani na mdomomi kwa allah............wanaabudu wasichokijua...........unajua shetani ni manja sana anauwezo wa kumpofusha mtu asiambilike wala asisikike...................ole wao YESU yu aja
Waislamu wanafuata sheria za miaka elfu 10 iliyopita ambazo wayahudi ziliwashinda mpaka Mungu akawaonea huruma akamtuma Musa awaletee amri kumi za Mungu lakini waislamu wao hawazioni kama siyo kutozitaka. Ole wao wawahukumuo wenzao ingali kifuani kwao kumejawa na uchafu na majonzi matupu kutokana na uovu wao. Heri yao wao wawarekebishao watenda dhambi na kuwabariki ili waachane na hayo maovu na kumrudia Mungu. Kuna wale waliompelekea Yesu mwanamke aliyezini na kumuuliza kama ni halali apigwe mawe kwa kosa hilo. Yesu aliwaambiwa na asiyekuwa na dhambi awe wa kwanza kumpiga jiwe. Waliondoka mmoja mmoja hadi wakaisha wote na Yesu akamwambie yule mwanamke nenda zako kwa maana umesamehewa dhambi yako. Waislamu hawawezi kujifunza hata kidogo hapa? Nawashauri waende na wakati.
 
people who stoned that lady until death arent humans but beasts on earth i wonder how they wouldd react if it was their on daughter stoned to death
 
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=k3xmeCRpYmQ[/ame]
 
people who stoned that lady until death arent humans but beasts on earth i wonder how they wouldd react if it was their on daughter stoned to death

MAMBO YA WALAWI: 20.
22[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]" ‘Shika amri na sheria zangu zote na kuzifuata, ili kwamba katika nchi ninayowaleta kuishi isiwataapike. [/FONT][/FONT]23[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Kamwe msiishi kwa kufuata desturi za mataifa nitakayoyafukuza mbele yenu. Kwa sababu walifanya mambo haya yote, nami nikachukizwa sana nao. [/FONT][/FONT]24[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Lakini niliwaambia, "Mtaimiliki nchi yao, nitawapa ninyi kuwa urithi, nchi inayotiririka maziwa na asali." Mimi ndimi BWANA wenu, ambaye amewatenga kutoka katika mataifa.
[/FONT]
[/FONT]25[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]" ‘Kwa hiyo, ninyi lazima mweze kutofautisha kati ya wanyama walio safi na wasio safi pia kati ya ndege wasio safi na walio safi. Msijitie unajisi kutokana na mnyama ye yote au ndege wala kitu cho chote kitambaacho juu ya ardhi, vile ambavyo nimevitenga kuwa najisi kwa ajili yenu. [/FONT][/FONT]26[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Mtakuwa watakatifu kwangu, kwa sababu Mimi, BWANA, ni mtakatifu, nami nimewatenga kutoka katika mataifa kuwa wangu mwenyewe.
[/FONT][/FONT]
27[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]‘‘ ‘Mwanaume au mwanamke ambaye ni mwaguzi au mwenye kupunga pepo miongoni mwenu lazima auawe. Mtawapiga kwa mawe, nayo damu yao itakuwa juu ya vichwa vyao wenyewe.’ ’’
[/FONT]
[/FONT]

HAWA WANAOPINGA JAMBO HILI CHAKUSHANGAZA NA KUSIKITISHA KITABU CHAO WANACHOKIIITA KITAKATIFU NDIO KINAONGOOOOZA KWA SHERIA KUTAJWA MARA NYINGI MNO...LOL
 
MAMBO YA WALAWI 20.
22[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]" ‘Shika amri na sheria zangu zote na kuzifuata, ili kwamba katika nchi ninayowaleta kuishi isiwataapike. [/FONT][/FONT]23[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Kamwe msiishi kwa kufuata desturi za mataifa nitakayoyafukuza mbele yenu. Kwa sababu walifanya mambo haya yote, nami nikachukizwa sana nao. [/FONT][/FONT]24[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Lakini niliwaambia, "Mtaimiliki nchi yao, nitawapa ninyi kuwa urithi, nchi inayotiririka maziwa na asali." Mimi ndimi BWANA wenu, ambaye amewatenga kutoka katika mataifa.
[/FONT]
[/FONT]25[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]" ‘Kwa hiyo, ninyi lazima mweze kutofautisha kati ya wanyama walio safi na wasio safi pia kati ya ndege wasio safi na walio safi. Msijitie unajisi kutokana na mnyama ye yote au ndege wala kitu cho chote kitambaacho juu ya ardhi, vile ambavyo nimevitenga kuwa najisi kwa ajili yenu. [/FONT][/FONT]26[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Mtakuwa watakatifu kwangu, kwa sababu Mimi, BWANA, ni mtakatifu, nami nimewatenga kutoka katika mataifa kuwa wangu mwenyewe.
[/FONT]
[/FONT]27[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]‘‘ ‘Mwanaume au mwanamke ambaye ni mwaguzi au mwenye kupunga pepo miongoni mwenu lazima auawe. Mtawapiga kwa mawe, nayo damu yao itakuwa juu ya vichwa vyao wenyewe.’ ’’
[/FONT]
[/FONT]
 
people who stoned that lady until death arent humans but beasts on earth i wonder how they wouldd react if it was their on daughter stoned to death

kumbu kumbu ya torati 13.
6[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Kama ndugu yako hasa, au mwanao au binti yako, au mke umpendaye, au rafiki yako wa karibu sana akikushawishi kwa siri akisema, ‘‘Na twende tukaabudu miungu mingine,’’ (miungu ambayo ninyi wala baba zenu hamkuifahamu, [/FONT][/FONT]7[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]miungu ya watu wanaowazunguka, ikiwa karibu au mbali, kutoka mwisho mmoja wa nchi mpaka
mwingine,)
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]8[/FONT][/FONT]usikubali wala usimsikilize. Usimhurumie! Usimwache wala usimkinge. [FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]9[/FONT][/FONT]Hakika ni lazima auawe. Ni lazima mkono wako uwe wa kwanza katika kumwua kisha mikono ya watu wengine wote. [FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]10[/FONT][/FONT]Mpigeni kwa mawe mpaka afe, kwa sababu alijaribu kuwageuza mtoke kwa BWANA Mungu wenu ambaye aliwatoa Misri, kutoka nchi ya utumwa. [FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]11[/FONT][/FONT]Kisha Israeli wote watasikia na kuogopa wala hakuna mmoja miongoni mwenu atakayefanya uovu tena.

ndugu walimwengu hivi haya hamuoniii auuu? haya alileta naniii?
[/FONT]
[/FONT]
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]wewe jibu hili lakufaaa sana...
[/FONT]
[/FONT]
 
Back
Top Bottom