Somali woman stoned to death for adultery | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Somali woman stoned to death for adultery

Discussion in 'International Forum' started by MaxShimba, Nov 27, 2009.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Somali woman stoned to death for adultery

  Associated Press , Mogadishu | Wed, 11/18/2009 4:47 PM | World

  A judge for an Islamic militant group in Somalia says a woman has been stoned to death and her boyfriend given 100 lashes for having an affair.

  Sheikh Ibrahim Abdirahman, the judge for the group al-Shabab, says the woman was killed Tuesday in front of a crowd of some 200 people near the town of Wajid.

  Abdirahman says the 20-year-old woman had an affair with a 29-year-old unmarried man and gave birth to a stillborn child.

  The militants that control much of southern Somalia and have links to al-Qaida have instituted a conservative reading of Islam's Sharia law.

  The stoning death was at least the fourth for adultery in Somalia over the last year. It was the second time a female has been killed.
  --

  A woman accused of adultery was stoned to death by Islamists in Somalia.

  Asha Ibrahim Dhuhulow, 23, was buried up to her neck in front of hundreds of people Monday in a square in Kismayu and stones were hurled at her head. She was dragged out of the hole three times to see if she was dead.

  Islamists said Dhuhulow wanted punishment under Sharia law.

  "A woman in green veil and black mask was brought in a car as we waited to watch the merciless act of stoning," said Abdullahi Aden, who witnessed the execution. "We were told she submitted herself to be punished, yet we could see her screaming as she was forcefully bound, legs and hands."

  When a relative and others surged forward to rescue her, guards opened fire and killed a child, witnesses said.

  "[Dhuhulow] was asked several times to review her confession but she stressed that she wanted Sharia law and the deserved punishment to apply," local leader Sheikh Hayakallah said.

  But her sister, who asked not to be named, said: "The stoning was totally irreligious and illogical.
   
 2. K

  Kabonde JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2009
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 421
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sharia imekaa kinafiki sijapata kuona.
  Siungi mkono kupigwa mawe Bi.
  Asha Ibrahim Dhuhulow hadi mauti imkute najojiuliza ni kwanini mwanaume aliyefanya naye mapenzi naye asipigwe mawe hadi afe?.

  Tumwombe mungu sana sharia isiingie Tanzania kwasababu imejikita zaidi kumyanyasa mwanamke kuliko mwanaume.Adhabu za sharia hazizingatii haki za mwanadamu pengine kwasababu zilitumika miaka mingi iliyopita.

   
 3. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Dini ya Mwenye Ez Mungu ni ya ajabu sana,

  Kuna Msichana alibakwa na Shehe Indonesia, halafu, cha ajabu badala ya kumshtaki Shehe, jamaa wakampiga mawe Msichana aliye bakwa.

  Kaazi kweli kweli
   
 4. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #4
  Nov 27, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Just an observation but why is it that it is always women being stoned to death? I have so far not heard of any case of adultery where the man was also stoned to death.
   
 5. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #5
  Nov 28, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  I was thinking the same thing maana that is biased right there.
   
 6. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #6
  Nov 28, 2009
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160

  uislam haumpi umuhimu wowote mwanamke, yani kwa waislam mwanamke ni chombo cha starehe tu. Mwanaume anaahidiwa kupata wanawake bikra wakutosha akienda ahera lakini hujasikia mwanamke anaahidiwa mwanaume hata mmoja huko ahera, pia utasikia mwanaume anaruhusiwa kuoa hata wanawake wanne lakini hujasikia uhuru huohuo ukitolewa kwa wanawake. Hamna sheikh mwanamke kama vile wao si bin'adam
   
 7. K

  Kayanda Member

  #7
  Nov 29, 2009
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ubaguzi si warangi, origin wala dissability hata wa sex upo. Ila huo ni extreme, kama tunavyojua ktk utamaduni wetu si kweli mwanamke huwa anamtongoza mwanamme. Ila ktk Africa na nchi za Kiislamu wataona hiyo si muhimu ktk dunia ya kiislamu.
   
 8. OsamaBinLaden

  OsamaBinLaden JF-Expert Member

  #8
  Nov 29, 2009
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kumbukumbu la torati 22 (20- 22 BIBILIA.
  20[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Hata hivyo, kama shitaka ni la kweli na hakuna uthibitisho juu ya ubikira wa huyo msichana ulioweza kupatikana, [/FONT][/FONT]21[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]huyo msichana ataletwa kwenye mlango wa nyumba ya baba yake na hapo watu wa mji wake watampiga kwa mawe hadi afe. Amefanya kitu cha aibu katika Israeli kwa kutokuwa na utaratibu wakati akiwa nyumbani kwa babaye. Lazima mwondoe uovu katikati yenu.
  [/FONT]
  [/FONT]22[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Ikiwa mwanaume atakutwa akizini na mke wa mtu mwingine, wote wawili mwanaume na mwanamke aliyezini naye lazima wauawe. Lazima mwondoe uovu katika Israeli.
  [/FONT]
  [/FONT]

  KUMBE SIO UISLAM PEKE YAKE NA HII JEE?
   
 9. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #9
  Dec 3, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ndo yanakuja tz hayo wajameni, subirini tu, nyie puuzeni tu, hawa jamaa wenye baragashia wapiga chuma ulete na wasiopenda shule, imani yao ni ya adui shetani kabisa. huu ni ugaidi wa kawaida tu, na si ajabu kukamilisha tu kuwa dini fulani hufundisha ugaidi na kuua watu. nashangaa watu wengine bado wanaiunga mkono.
   
 10. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #10
  Dec 3, 2009
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,399
  Likes Received: 3,726
  Trophy Points: 280
  At least it says something about huyo mwanaume...........
   
 11. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #11
  Dec 3, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Wengi wanacho lalamika na tofauti ya adhabu kati ya mwanamke na mwanaume. Mwanamke akidhini yeye anauliwa lakini mwanaume akitenda kosa hilo hilo adhabu yake inakua ndogo zaidi. Hebu soma nilipo highlight na nyekundu. Hapo unaona wote mwanamke na mwanaume wanapewa adhabu hiyo hiyo kwa kosa hilo hilo.
   
 12. alsaidy

  alsaidy JF-Expert Member

  #12
  Dec 3, 2009
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Ni mwisho wa dunia m'mungu aliahidi ISLAMIC State will be in power siku za mwisho zinakaribia. Mark my word:
   
 13. alsaidy

  alsaidy JF-Expert Member

  #13
  Dec 3, 2009
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Uislam umeweka rational decesion na haikumkandamiza mwanamke hata kidogo na wanaosema mwanamke ananyanyaswa hawajui chochote kuhusu uislam.

  Labda nifafanue kidogo. Mwanamke kama ameolewa na akazini na mwanamume mwengine nje basi hukumu yake ni kupigwa mawe mpaka afe na vivyo hivyo kwa wanaume ambao wameshaoa.

  Hizo habari zilizoandikwa hazikifanunua vizuri kama huto mwanamke ameolewa au la lakini ninachojua itakuwa ameolewa ndio maana amepewa adhabu stahili yake na huyu mwanaume atakuwa hajaoa ndio maana amechapwa viboko 100 kama hukumu inavyosema.
   
 14. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #14
  Dec 3, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,223
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu umesahau kwamba alipoletwa mwanamke mzinifu mbele ya Yesu na Mafarisayo na kunukuu hiyo Torati juu ya uzinifu Yesu aliwambiaje? Si aliwataka wale washitaki kwamba yule ambaye hana dhambi awe wa kwanza kutupa jiwe kumpiga yule mama. Yesu akainama chini na alipoinuka watu wote walishapotea na kumwacha yule mwanamke na Yesu. Yesu akamwambia enenda zako usifanye dhambi tena. Sheria hii ni ya kinafiki sana ndio maana hata Wayahudi hawaitekelezi kama ilivyo sheria ya kuchinja wanyama katika siku kuu zao.

  Inashangaza kwamba mambo kama haya ya kupiga wanawake mawe yanafanyika na kushabikiwa katika karne hii ya 21! With things like these who needs barbarism?
   
 15. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #15
  Dec 3, 2009
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,651
  Likes Received: 21,865
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama binadamu aliyestarabika katika karne hii ya 21 anaweza kutupa jiwe kwa mwanamke aliye tenda kosa kama hilo. Ukiinama chini (kama alivyofanya Yesu) na kutafakari juu ya hao wanaotekeleza hukumu ya namna hiyo, utapata jibu ni binadamu wa aina gani.
   
 16. Elisante Yona

  Elisante Yona Senior Member

  #16
  Dec 3, 2009
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 130
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hi,

  I am very sorry with a stoned woman up to death,this is a barbaric act and great violation of Human rights,what is wrong to have an affair,
  Shame upon you who did such act.

  Elisante Yona
   
 17. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #17
  Dec 3, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  At least gender equality and equity principles are applied here. Wote ua basi kama ni maandiko yamesema na si kumuua mwanamke tu.
   
 18. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #18
  Dec 3, 2009
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,399
  Likes Received: 3,726
  Trophy Points: 280
  Una uhakika na unachosema...???? AU unataka tukudondoshee yanayomkandamiza mwanamke ndani ya uislam..???? Ngoja niingie chimbo niibuke na baadhi ya AYA za dizaini hiyo.............
   
 19. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #19
  Dec 3, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Iwe koran au biblia hatutakiwi kuclem jamani.
  We need to understand ni kwa nini enzi izo they were stoning women to death.set up yao mwanamke si kitu mbele ya mola.ndo maana ata ukiwa na watoto wa kike uyahudini in those days u dont count them as watoto ila wa kiume tuu.
  Its time to strt valuing our females mambo ya stoning them alone sio mazuri.
  Ila kwa mwendo wa vimini na vitop naona mawe ndo jeuri yao
   
 20. Peasant

  Peasant JF-Expert Member

  #20
  Dec 4, 2009
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 3,949
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hapa unaonyesha kweli umepitwa na karne, mambo ya vimini na vitop ndio mapambo yenyewe ya dunia hayo! Waache mabinti wajipambe na macho yetu yafurahi..lol
   
Loading...