Somali Pirates Sunk!!!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
1.jpg



Royal Marines from the Navy frigate HMS Portland intercept two pirate skiffs in the Gulf of Aden, off Somalia. The vessels were carrying grappling hooks and a cache of weapons, including rocket propelled grenades, machine guns and ammunition. They were later sunk by gunfire.
 
Lol! Jamaa sasa naona wamechoshwa na hawa pirates na wameamua kuwateketeza kabisa.
 
Kinachoniumiza ni vile ma-pirates baharini ni vibaraka vya majambazi wanaotumia wizi wa wazungu ka kisingizio cha kuteka meli ... mbona hawawalishi wananchi waSomalia? wanaajiri vitoto vyenye njaa, mara nyingine wakiwatisha kuua familia zao ... fvcked up situation... ningewafagilia ka wangeteka meli na kulazimisha wazungu waache kunyonya mazao ya pwani yao, nk ... as it is now, wamewapa wazungu urahisi wa kutawala pwani zetu, manake hata mvuvi sasa atahatarika kuuawa ... Lord haf mercy!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom