Kwa wale mnavutiwa kusoma Shahada ya Uzamili na Uzamivu nchini Ufaransa chuo cha Agro Paris Tech hasa kozi za maji na kozi nyingine zote.
Napenda kuwataarifu kuwa kuanzia kesho saa 3 Asubuhi Tarehe 24/06/2015 hadi tarehe 25/06/2015 Uongozi wa chuo hicho kilichopo Ufaransa utawakilishwa na ndg. FABY atakuwepo Dar es Salaam pale PEACOCK HOTEL kuzungumzia fursa hiyo.
Hivyo kwa maneno haya machache unaalikwa kufika pale au unaweza kupiga simu number +33 60 7233389 kuulizia Fursa ya Elimu hiyo atazungumza namna ya kupata udhamini na namna ya kujiunga, kozi wanazotoa ni maalum kwa Wahandisi wa Maji pamoja na wengine wanaofanya kazi katika Mamlaka za Maji.
Kozi hizi zinatolewa kwa Kiingereza na Kifaransa maana yake unajiunga na darasa la Kiingereza kama unatumia Kiingereza au Kifaransa Mtanzania usisite kuulizia fursa hii.
Kwa maelezo Zaidi wasiliana na ndugu FABY +33 60 7233389 – anazungumza Kifaransa na Kiingereza au Mimi mwenyewe number yangu ni +255753005497
Tembelea www.agroparistech.fr/International-Masters.html