Soma nyota yako leo hapa

Soma nyota yako leo hapa

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
NYOTA YAKO LEO IJUMAA
25/4/2014

NG’OMBE – TAURUS (APR21 – MAY
20)
Mchana huu Pendelea sana
kumsifu kila utakae kutana nae
utaona ajabu. kwamba mambo
yako yatanyooka na kufanikiwa kwa
hali ya juu sana, unashauriwa
kuwa mtu wa ibada na kutoa
sadaka.

MAPACHA - GEMINI (MAY 21- JUN
21)
Mchana huu una mawazo sana
kuhusu Ndoa au Mwanamke au
Mwanamme. Mambvo hayo
yatafunguka baada ya siku saba .
Unatahadharishwa usijishughulish
e na ugomvi wowote utakatokea
hapa mtaani kwako hata kama ni
mtoto wa jirani yako, kwani
kujiingiza kwenye ugomvi huo ni
kujitakia balaa kubwa.

KAA – CANCER (JUN 22 – JUL 23)
Leo Karibisha wageni, fanya
vitendo vizuri saidia sana haja za
watu
na itakufanya ufanikiwe katika
mipango yako au matibabu yako
au ya jamaa yako aliyeugua kwa
muda mrefu.. Mgonjwa akipona
toa sadaka.

SIMBA – LEO (JUL 24 – AUG 23)
Hivi karibuni kuna mtu unaetaka
kukutana nae lazima mtakutana
lakini itakubidi umfuate,na
uzungumze naye, kwani hakuna la
maana utakalolipata usipomfuata.
Mipango itatimia tu baada ya
kukutana nae.

MASHUKE – VIRGO(AUG 24- SEPT
23)
Kuna Mtu atakuja leo kukusaidia,
akija mwinukie, atakuwa anatoka
upande wa Magharibi au Kusini
na atakuja muda wa jioni,
Jihadhari kuna mikakati mibaya
inaundwa juu yako, unashauriwa
kuhama mji au kubadili kazi yako
ya sasa

MIZANI - LIBRA (SEPT 24 – OCT 23)
Mchana huu kuna mtu utakutana
nae, mtu huyo anaweza kuwa
mpenzi, anaweza kuwa mpenzi au
mtu mtakaesikilizana sana.
Mpokee na kuwa nae utafanikiwa
na atakuinua sana kimaisha. Kuna
habari za sherehe utapokea katika
kipindi cha siku mbili.

NGE - SCORPIO (OCT 24- NOV 22)
Kama leo mchana kama
unamipango na mtu yoyote usione
shaka kumkabili, mwelezee na
mambo yako yatafunguka
japokuwa yatakuwa na hasara
kubwa na faida kidogo usikate
tamaa huo ni mwanzo tu, baadaye
mambo yako yatakuwa mazuri
sana.

MSHALE - SAGITARIUS ( NOV - DES
21)
Wiki hii kuna dalili ya kutokea
matokeo ya kutatanisha au
kupotelewa na vitu vyako
kiajabuajabu. Utapata habari ya
kifo na Unaweza uchanganyikiwe.
Unashauriwa kuwa mvumilivu
kwani kifo hiki ndio ufunguo wa
bahati yako.

MBUZI - CAPRICORN (DES 22 – JAN
20)
Leo usione tatizo kumtolea mtu
wako wa karibu shida zako
utapata haja yako mara moja
kama si leo, Jumatatu au Mwezi
wa Septemba lakini itatimia.
Elewa kuwa mfanyakazi wako wa
ndani au msaidizi wako katika kazi
au biashara amegundua siri zako
na ana mpango wa kuzitangaza.
Muwahi kabla hujadhurika.

NDOO –AQUARIUS (JAN 21 – FEBR
19)
Kuna wasiwasi kuwa utapata
maradhi ya kifua ambayo
yatakusumbua sana lakini
mwishowe utapona kwa msaada
wa rafiki yako.Jaribu kuwa
nyumbani nyakati za jioni
jiepushe na safari za usiku
kuepukana na upepo mbaya
utakaokuingia kifuani.

SAMAKI – PISCES (FEB 20- MACH
20)
Pana mtu anaitwa Yusufu au
Joseph au jina lake linaanza na
mojawapo ya herufi zilizo katika
majina hayo atakusaidia na lazima
ushirikiane nae.mtafute na
utapata faida kubwa.

PUNDA- ARIES (MACH 21- APR 20)
Leo kama kuna mtu unayetaka
kushirikiana nae jina lake linaanza
na moja ya herufi hizi ‘ ‘S’, ‘F’, ‘P’,
ni vizuri zaidi.Mtu huyo
atakusaidia kugundua njama
unazofanyiwa na jamaa zako wa
karibu, unashauriwa kujifanya
kama hujazijua njama zao ili
kuzipata za ndani zaidi.
 
we skiza km huna nyota kachambe

Puubavu zako wewe ImageUploadedByJamiiForums1398398572.375024.jpg
Mi nauliza vzr unajibu kifalafala
 
mfumo huu wa kuelezea nyota huwa unakuwa too general mkuu, kwa mfano je watakao kufa leo ni nyota ganimbona hujazungumzia kuwa mwenye nyota flan atakufa leo
 
Kukosa kazi ya kufanya,basi kafue hata kufuli lako !
 
Unapoteza muda wako kwa kuandika mambo ya kishenzii...
 
Mie cna nyota,jua wala mwezi....hiyo ni shirkih tena kubwa na ukanjanja wa kupiga watu pesa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom