Demu kampigia cm boyfrnd wake
»mwanadada» halloo mpenzi uko wapi?
»Jamaa»nipo mahali napata lunch
»mwanadada»mm mwenyewe nackia njaa ucsahau kuniletea namim,chipc kuku,mayai ma3,ndizi 5 ,piza,baga,na soda ya baridi.
»jamaa»umesahau kuniagiza sufuria,vijiko,meza na viti
»mwanadada»vyanini tena hivyo?
»jamaa»mpaka hapo huoni kuwa mgahawa ushakamilika!!!