SOMA KABLA HUTAJUTUMA (proof read)

SOMA KABLA HUTAJUTUMA (proof read)

Sijali

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
2,700
Reaction score
1,853
Mfanyakazi wa kike alikuwa anamshukuru mfanyakazi mwenziwe wa kiume kwa kumsaidia kalamu usiku uliopita, baada ya yake kugoma. Alimwandikia SMs hivi:
Your penis very good. I enjoyed having it last night.
Mke wa jamaa akaona message hiyo. Hadi naandika huyo jamaa hajaonekana kazini!
 
Hahahaaaa binti alisahau space ikazua balaaaa lol
 
Mfanyakazi wa kike alikuwa anamshukuru mfanyakazi mwenziwe wa kiume kwa kumsaidia kalamu usiku uliopita, baada ya yake kugoma. Alimwandikia SMs hivi:
Your penis very good. I enjoyed having it last night.
Mke wa jamaa akaona message hiyo. Hadi naandika huyo jamaa hajaonekana kazini!

You pen is very goo, I enjoyed last.... ni full utata bado.
 
Mbona sikuelewi ndugu, kulingana na joke iliyotolewa? Mbona kama umeikoroga hiyo joke? Joke ina utata gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom