Soma Hii

Soma Hii

Kiwalani finest

Senior Member
Joined
Jul 6, 2024
Posts
116
Reaction score
85
Watu wasiotenda haki ni wengi na ni Makatili .
Huisema haki huku wakiwa wanaichukia haki yenyewe.
Ndiyo Maana kukiwa na mtu akiishabikia haki
Waovu kwa uovu wao hukaa kimya wakisubiri habari za kijinga na za hovyo hovyo ili waziunge mkono
 
Back
Top Bottom