Unakosea sana halafu kama huwezi kushauri kitu uache tuu brooh mbona kitu kinaeleweka hapo nini hakieleweki kama ukitoa ushauri wenye value utasaidia wengi sio mimi tuu mimi nilitegemea kuwa ungesema nilisikia fulani pia kapigiwa simu kama hiyo basi sawa poa nadhani mimi nina jua namna yakuongea na nikajua nia yako mapema sana so kama umeshindwa kuwashauri wenzio pia wajue baki na ubinafsi wako mi napambana na yangu ila sio mchoyo wa kushare na wenzangu okyDeal la pesa huwezi ku share na unajiapiza u cant! Ila umeona ni deal la matakataka haya ndio unatusumbua vichwa.
Anyways si umeshasema umeona ni utapeli sasa sisi tukushauri nini mkuu, ndio hivyo hivyo ni utapeli achana nao
Hhahaha aisee sikuwa available hapa jamii nina muda sikuusoma huyu mwehu sana nimemuuliza maswali magumu hahaah eti nilikuwa tanesco mara mpunga akaona akate tuu simu mwenyewe ahsante naona umenipa mwangaHahahaha mbona huyo jamaa alishawekewa uzi hapa ametapeli watu kibao hukuusoma? Halaf alivyoboya habadili location kila siku yuko Iringa
Mi nikipata tapeli kama huyo ndo nafurahi, namweka kingi alafu namlamba hata kama anabuku mbili.Jamaa yangu hapo hakuna cha deal wala mama yake na deal, kimbia mbio za Usain Bolt, tapeli hilo
Duh jamaa ni balaaa aisee huhSasa ni hivi, huyo mwehu wa iringa, wala hayuko iringa anakujua sana ila wewe humjui, ukiwa yeyari kuingia kwenye dili atakupa namba ya huyo mtu wa dar ( ambae ndo yeye pia) mtapanga kuonana, kisha anakuja yeye mwenyewe akisema ametumwa na jamaa wa iringa, ila wakati ukiwa nae ukimpigia jamaa wa iringa simu yake itakuwa haipatikani ( kwasababu ndo yeye upo nae hapo).
SawasawaJamaa yangu hapo hakuna cha deal wala mama yake na deal, kimbia mbio za Usain Bolt, tapeli hilo