Soma hapa

Soma hapa

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,263
Hili tangazo kama limebagua hivi
 

Attachments

  • 1423127276571.jpg
    1423127276571.jpg
    53 KB · Views: 994
Ilipaswa kuandikwa hivi...

Watu wote wameambukizwa virusi vya ukimwi kasoro WEWE NA MWANDOA MWENZIO.
 
Tangazo zuri ila halijazingatia uhalisia, kwenye ndoa wanaingia maveterani wa mapenzi kwa sasa... Labda kwa zamani lingeapply vyema.
 
Back
Top Bottom