Soma hapa je ni kweli

high vampire

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2012
Posts
2,942
Reaction score
2,183
je unapenda kuishi mkoa gani maana kila mkoa una sifa zake
1. DAR- UTAPELI
2. ARUSHA-USTAARABU
3. MWANZA-FUJO
... 4. MBEYA-MATUKIO
5. TANGA-MAJINI
6. MORO-STAREHE
7. DODOMA-BAHATI
8. IRINGA-ELIMU BORA
9. RUVUMA-POMBE
10. RUKWA-UCHAWI
11. TABORA-MIKOSI
12. SHINYANGA-NJAA
13. SINGIDA-UPOLE
14. KAGERA-MISIFA
15. LINDI-WAOGA
16. KIGOMA-UBISHI
17. PWANI-UVIVU
18. MTWARA-HASARA
19. KLMNJR-UBAHILI
20. MARA-HASIRA
21. MANYARA-UTAJIRI
22. GEITA-PRESHA
23. SIMIYU-MARADHI
24. NJOMBE-HARAKA
25. KATAVI-AIBU
Je wewe ungependa kuishi mkoa gani?
 
Ni kweli Mbeya ni mji wa matukio mengi kwani nimeishi huko na naifahamu vizuri ila hiyo mingine na sifa zanke sijui kama ni kweli au la kwani sijakomferm zaidi ya kusikia tu,ila mi napenda kukaa Moro,Arusha na kilimanjaro regardless ya wasifa wake.
 
Ni kweli Mbeya ni mji wa matukio mengi kwani nimeishi huko na naifahamu vizuri ila hiyo mingine na sifa zanke sijui kama ni kweli au la kwani sijakomferm zaidi ya kusikia tu,ila mi napenda kukaa Moro,Arusha na kilimanjaro regardless ya wasifa wake.

Blue G
Kama unapenda Arusha basi Karibu Usa River
 
Last edited by a moderator:
Mbona mikoa mingine haiko kwenye listi? au ile ni ya nchi jarani???????????
 
AAaaaa mkuu hapo kilimanjaro umetuonea babangu!
 
arusha ukiwa na hela unalala na roho mkononi
wazee wa kazi nje nje

Wengi wao uhuni sana, vibaka kukwapuliwa kweupeee....
napapenda sana ila huwa sina amani kukaa huko mie!!!!!!!
 
Mwanza- ustaarabu
Arusha- Fujo
So uliandika vise versa

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

Hapo bold una utani na Wa..re, ngoja washuke milimani kukujibu.
 
wa dar ni chumvi mwanza watamu utafikiri kama nini hebu wataalamu watuambie utamu wake unafanana na nini maana hata asali iko nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…