kessy kyomo
Member
- Feb 1, 2011
- 72
- 11
Mkuu,hivi kuna ukweli wowote kuhusu population ya mkoa wa mwanza ni kubwa kuliko population ya chi ya zanzibar kama ni hivyo basi kumbe hata mwanza ni nchi huru kwani tunaona kura za diwani wa bara ni zaidi ya kura za mbunge wa zanzibar nawakilisha wadau:bump:
hivi kuna ukweli wowote kuhusu population ya mkoa wa mwanza ni kubwa kuliko population ya chi ya zanzibar kama ni hivyo basi kumbe hata mwanza ni nchi huru kwani tunaona kura za diwani wa bara ni zaidi ya kura za mbunge wa zanzibar nawakilisha wadau:bump:

Ni kweli Mwanza wapo wengi sana, hata Mkoa wa Geita tu ni zaidi ya zanzibar... lakini hoja yako haina mashiko; kuna nchi inaitwa samoa ina watu laki moja, kuna St. Kits and Vincent ina watu chini ya laki moja nk
Tusiangalie one factor in our analysis, kumbuka kwamba historia ni moja ya sababu kubwa ya kuwapo nchi kama zilivyo
Mkuu kuwa nchi huru hakutegemei idadi ya watu, au umesahau wachina ni wengi kuliko wa Afrika wote hapa duniani. Lakini mbona Afrika ina nchi karibu 54 wakati CHINA ni nchi moja tu!
Ipo pia nchi inaitwa Vanuatu ina population isiyozidi 50,000. Lakini ina Rais akija hapa atapigiwa mizinga 21, kukagua Gwaride na ina kiti UN.
Mkuu,
kweli population ya mwanza ni kubwa kuliko population ya nchi ya Zanzibar.Ambayo ni moja katika ya nchi mbili zilizounda Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar(Tanzania).
Kumbe hata Mwanza ni nchi huru....huu unaweza kuwa ni utashi lakini si ukweli. Ili mwanza iwe nchi huru, inabidi Muungano wa Tanzania uvunjwe...faida ambayo wengi hatuioni ya muungano ni kuwa muungano umeisaidia Tanganyika kutokumeguka kuwa nchi mbili ,tatu, nne ndani yake, siku Zanzibar ikijitoa muungano basi kweli watu wa Mwanza, Mikoa ya kusini nk watataka kujitenga kama ilivyotokea kwa Sudan ya Kusini. Mwalimu was smart enough kulijua hili ndio maana aliing'ang'ania Zanzibar na kuwa na mpango wa kuimeza ili watu wawe na fikra kama hizi zako mkuu...usahau matatizo yaliyotuzunguka na tuone Zanzibar kuwa ni kero.
Lakini muungano ukivunjika basi japo serikali za majimbo tutazipata Tanganyika,(bara), na ule ubaguzi uliojificha kwa muda mrefu wa kidini na kikabila utaibuka kwa nguvu ya ajabu.
Mkuu,Mhmmm Nonda umechemka hapo, Mwalimu aliongelea Zenj; wewe pambana nao lakini husiongeze uongo, Nonda!! .
ni kweli ndio maana CCM wanaumia sana kuipoteza kanda ya Ziwa ambayo kama wote wakiamua kumpigia kura mtu wao basi lazima ashinde(bila uchakachuaji)
CUF wanawabunge wengi ila waulize wanawakilisha watu wangapi mbona utashangaa? mshindi wa ubunge PEMBA kura 2834 hizo ni kura za mjumbe wa mtaa MABATINI MWANZA.