Basi yaishe.... Naona tumetofautiana mitazamo na tafsiriMzee unajijibu tena?
Ndio wako tofauti ndio maana nikasisitiza kua kuna Kiranga na kuna Aspirin...two different dudes!
Ubaya umetoka wapi?Sijataja chochote kibaya kwa yeyote,sio Aspirin wala Kiranga...
Sasa sijui wasi wasi wako ni upi mkuu?
Basi yaishe.... Naona tumetofautiana mitazamo na tafsiri
Arxiv.org ni sehemu ya wasomi kusoma na ku kuchapisha papers za kiuanazuoni.
Uzuri wake ni kuweza kuchapisha na kusoma papers mtandaoni bila ukiritimba sana.
Kuna Watanzania wanaotumia Arxiv.org kusoma au kuchapisha papers?
arXiv.org e-Print archive
Unaweza kusoma algorithms za kutafuta pesa vile vile hapo.
Pole sana,Nikitoka nje ya bongo naweza soma!!
Lkn hizi stress za magu napataje guts za kusoma kitabu??
Pole sana,
Bongo unaweza kusoma mpaka Ph.D ya Nuclear Physics halafu akaja Bashite mmoja hata diploma ya kuunga unga Kampala University of Tanzania hana, akakupiga bonge la daflao mpaka ukawekea walakini usomi wako.
Kujipanga tu, tatizo wasomi wengiwanakuwa wanaweka mbele kuwa intellectual zaidi, kuliko ku solve practicalproblems.Kuna sehem kujua vitu vingi ni msaada kwa wengine na unatambulika.
Hapa bongo, utakufa na usomi wako na hakuna hata recognition yoyote utakayopata.
Hivi kupenda kusoma ni genetics, hobby, interest au nini!Kujipanga tu, tatizo wasomi wengiwanakuwa wanaweka mbele kuwa intellectual zaidi, kuliko ku solve practicalproblems.
Halafu kujikita kwenye usomi kama kunawaondolea uwezo wa kuwa wajasiliamali/wafanyabiashara wazuri.
Mtu akija na solution ya matatizo practical, anaitoa tu, hata kama Tanzania hiyo anti-business climate inamzingua, anakwend anchi za watu ambako wanaheshimu gunduzi hizi, ana patent vitu, anaingia biashara na makampuni makubwa, anakula royalties mpaka vizazi na vizazi anavirithisha.
Hivi kupenda kusoma ni genetics, hobby, interest au nini!
Ok.....mie naona ni mazingira,watoto wakianzishwa kuanzia wakiwa wadogo kusoma story books,wanakua wakubwa wakiwa na interest ya kujisomea vitabu
Asante mkuu. Nime search nimekutana na paper zenye masuala ya marine nimepata vitu vipya. Ingawa kwenye marine paper sio nyingi sana.Kuna searches hapo jaribu ku search.
ThibitishaHance Mtanashati
Nakuweka kwenye ignore list, kuanzia sasa sioni ujinga wako unaoandika kuchafua kila thread.
Fucking troll.