Thibitisha Mungu hayupoArxiv.org ni sehemu ya wasomi kusoma na ku kuchapisha papers za kiuanazuoni.
Uzuri wake ni kuweza kuchapisha na kusoma papers mtandaoni bila ukiritimba sana.
Kuna Watanzania wanaotumia Arxiv.org kusoma au kuchapisha papers?
arXiv.org e-Print archive
Thibitisha Mungu hayupo
Thibitisha Mungu hayupoHance Mtanashati
Nakuwekakwenye ignore list, kuanzia sasa sioni ujinga wako unaoandika kuchafua kila thread.
Fucking troll.
Thibitisha Mungu hayupo.Hapo kuna mambo kibao dada mdogo hata yale yako uliyosomea yapo.
Thibitisha Mungu hayupo.
Dah masomo yetu yale ya kiroho na mambo yasiyo na ithibati za kidunia naona hayapo hapa... Ukimpata link ya dark science usisite usisite kuweka kwa ombiArxiv.org ni sehemu ya wasomi kusoma na ku kuchapisha papers za kiuanazuoni.
Uzuri wake ni kuweza kuchapisha na kusoma papers mtandaoni bila ukiritimba sana.
Kuna Watanzania wanaotumia Arxiv.org kusoma au kuchapisha papers?
arXiv.org e-Print archive
[emoji23]kumbe maphysics..kaka mkubwa unatuonea lol
@asprin kakukosea nini!? Kama ni utani sawa... Ila kama umemaanisha basi hujatenda HAKI... Kwakuwa hatuwezi kufanana vipawaNdio maana kuna difference kubwa sana kati ya mtu kama Kiranga na mtu kama Aspirin!
Thanks man!
@asprin kakukosea nini!? Kama ni utani sawa... Ila kama umemaanisha basi hujatenda HAKI... Kwakuwa hatuwezi kufanana vipawa