Wakuu kuna website inajitokeza kila napotaka kufungua Facebook na yenyewe kuingilia kati na kujifungua
Naombeni msaada wenu plz kwani nakereka sana. mtandao wnyw unaojitokeza ni CAMOLIST.COM
inaonekan unatumia vpn au service provider wako. Hio vpn au isp wameblock facebook kama kuna ukweli disable hio vpn. Mara nyingi vpn zinakaa chini kwenye startup menu