Luvanga1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2014 Posts 2,025 Reaction score 1,710 May 9, 2017 #21 denoo49 said: Ukimaliza kusikiliza huo, tafuta na "Miss Tanzania" Bonge moja la wimbo, japo media wanaliogopa hataree Click to expand... moja ya nyimbo yangu kalii kuwahi kutokea kwa mzee Solo Thang
denoo49 said: Ukimaliza kusikiliza huo, tafuta na "Miss Tanzania" Bonge moja la wimbo, japo media wanaliogopa hataree Click to expand... moja ya nyimbo yangu kalii kuwahi kutokea kwa mzee Solo Thang
wegman JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 1,471 Reaction score 2,097 May 10, 2017 #22 orangutan said: Kuna ngoma yake inaitwa 'mpenzi' . one of the best romantic song!!! Click to expand... Hii "mpenzi" si ndo kamshirikisha q-chief mkuu?? one of my best song of all the time.
orangutan said: Kuna ngoma yake inaitwa 'mpenzi' . one of the best romantic song!!! Click to expand... Hii "mpenzi" si ndo kamshirikisha q-chief mkuu?? one of my best song of all the time.
M mwasu JF-Expert Member Joined Jul 13, 2011 Posts 10,161 Reaction score 11,559 May 10, 2017 #23 Kulikuwa na mwanamuziki anaitwa Mr. Paul nilikuwa napenda sana nyimbo zake na sauti yake sijui yuko wapi?! Jamaa alikuwa ana sauti imetulia hatari.
Kulikuwa na mwanamuziki anaitwa Mr. Paul nilikuwa napenda sana nyimbo zake na sauti yake sijui yuko wapi?! Jamaa alikuwa ana sauti imetulia hatari.