Solar solar za kukodisha toka m-power[off grid

Solar solar za kukodisha toka m-power[off grid

mzungu jw

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
290
Reaction score
33
M-POWER

WAKALA
ni kampuni inayo jishuhulisha na umeme wa utokanao na mwanga wa jua.Inatoa huduma ya solar za kukodisha.

Inatoa huduma hiyo kwa madaraja mawili ambayo ni>
daraja la kwanza lina taa 2 pamoja na kuchaji simu, ambayo gharama ya kufungiwa ni shilingi 10000 .Na malipo ya siku ni shilingi 300 kwa siku.

Daraja la pili lina taa tatu pamoja nakuchaji simu, ambapo Gharama ya ufungiwa ni sh. 15000 na ya siku ni Sh. 450 kwa siku.

Huu ndo mtambo we nyewe wote mnakaribishwa...

Wasiliana na mawakala
abdallah: Namba za simu 0755 902595

Yusuph Arusha : namba za simu 0765 34 22 10


w0te mnakarobishwa
 

Attachments

  • download (1).jpg
    download (1).jpg
    7.1 KB · Views: 110
Back
Top Bottom