umeona kaka,inveta ya dukani inatumia betri mwisho 10v lakini ya kusuka inafyonza volt hata hadi 4v.naweza kusema una overuse betri.mimi ninayo interta aina ya telwin toka italy haijawahi kuungua tangu niinunue 2006 hadi leo inapiga mzigo,nilishawishika kununua ya kusuka lakini hata miezi2 haikumaliza na hata nilipoipeleka kwa fundi alisema haitengenezeki hadi isukwe upya kwa gharama kubwa.tangia hapo sina mpango wa kununua inverta ya kusukaKwa jinsi ninavyojua Inveter za kusuka huwa zinaharibu Battery maisha ya battery yanakuwa mafupi ukilinganisha na za dukani Na pia hii inasababishwa na msukaji kushindwa ku kadiria inveter-Battery-Load hii inasababisha msukaji akasuka inveter ambayo haiendani na batery mtumiaji atakazotumia au apliance zitakazo tumika.....Za dukani ukisema kuwa ni mbovu hii inategemea na sehemu au kampuni uliyonunulia...Tatizo letu huwa tunapenda vitu vya bei rahisi ndomana hata maisha yake yanakuwa mafupi...Kuna inveter zenye guarantee mpaka miaka saba. Inveter bora na nzuri ni TRIPPLITE,MAGNUM,VICTRON,OUTBACK&MORNINGSTAR. Unaweza ni pm kama unahitaji au maelezo zaidi
Kwa jinsi ninavyojua Inveter za kusuka huwa zinaharibu Battery maisha ya battery yanakuwa mafupi ukilinganisha na za dukani Na pia hii inasababishwa na msukaji kushindwa ku kadiria inveter-Battery-Load hii inasababisha msukaji akasuka inveter ambayo haiendani na batery mtumiaji atakazotumia au apliance zitakazo tumika.....Za dukani ukisema kuwa ni mbovu hii inategemea na sehemu au kampuni uliyonunulia...Tatizo letu huwa tunapenda vitu vya bei rahisi ndomana hata maisha yake yanakuwa mafupi...Kuna inveter zenye guarantee mpaka miaka saba. Inveter bora na nzuri ni TRIPPLITE,MAGNUM,VICTRON,OUTBACK&MORNINGSTAR. Unaweza ni pm kama unahitaji au maelezo zaidi
Ambacho huwa wanakirekebisha ni kipi hasa au wanarekebisha kwa kuongeza size yake au kupunguzakuna mafund ambao waanakuambia kanunue then wanarekebisha tu. hyo nayo vp
Ninayo inverter moja ya India inaitwa Falcon,pamoja na dry cell za kimarekani westernstar za N100 tangu 2009 hadi leo natumia bila shida.haijawahi kusumbua hata kidogo.na wale jamaa nilionunua kwao walisema wazi kwamba soko la inverter hapa bongo limejaa inverter feki sana.Walinipa guarantee ya mwaka mmoja.Wanaitwa Solar Planet,wako karibu na soko kuu la kariakoo opposite na hospitali fulani ya waislamu.Pia angalia matumizi yako.Usipende kuoverload kifaa.Inverters na generators zinakufa sana kutokana na watu kuoverload kifaa au kuweka load ambayo iko exactly sawa na uwezo wa kifaa.Unatakiwa kununua kifaa ambacho kimezidi kidogo load yako yote kwa sababu vifaa vingi vya umeme vinapowashwa pale mwanzo vinatumia nguvu mara 2 ya uwezo wake lets say tv imeandikwa 70w pale inapowashwa(switch on) inakula umeme zaidi ya hizo 70w.Halafu uwe unawasha kifaa kimoja kimoja manake ukiwasha vyote kwa pamoja na huku vinakula umeme mwingi vinapowaka utashangaa betri inaisha charge haraka na inverter inasumbua baada ya muda kumbe load yako unapowasha vifaa inakuwa inazidi load halisi.Sijui nimeeleweka huwa sijui kurahisisha maelezo jamani!