practically haiwezekani kwa app tu kujaza charge labda hardware ya hio simu iwe ilikua na uwezo huo wa kucharge kwa sola then baadae kutolewe patch ya software itayowezesha kucharge
Wataalam wa jukwaa hili kuna jamaa alikuwa ananiambia kuwa anatumia Nokia E7 sasa ame download Solar charge App na akanambia inachaji simu. Napenda kujua je inaweza kujaza betri vizuri kama chaja unapoitumia kwenye umeme? Pia kama ni kweli inaweza kuondoa tatizo la kutembea na chaji japo simu ninayotumia haina uwezo wa ku download.