SNL SOLAR LTD
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 205
- 26
- Thread starter
- #181
Backup gharama yake inategemea unataka ubackup nin na nin... na muda inategemeana unataka iwe ulinabackup kwa muda gani manake ni suala la calculation tuu.. mfano ukitaka ubackup taa 15, Tv 32' au 42' then feni mbili na fridge kwa masaa sita hadi 8 kama vitu vyote vinawaka kwa pamoja gharama yake ni sh 2.65mHembu niambie mkuu
Kufunga back up kwenye nyumba ni kiasi gani.Na inachukua muda gani charge kuisha.
Nipe mwanga hapo