Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Mkuu Shaffin Simbamwene Kwa kukisia kwa ajili ya hayo matumizi yako ya Computer 4 kwa kutumia masaa 12 kila siku itabidi upate Panel Solar yenye uwezo wa nguvu ya Watts 1500 kwa maelezo zidi jaribu kuwasiliana na hawa Wauza Solar Panel AnwaniSafi sana MziziMkavu mimi nataka kufungua internet cafee weka mchakato wa vifaa vinavyohitajika kwaajili ya computer 4 ziwe zinapiga mzigo saa 12 kila siku
Mkuu aspen utaweza kuhitaji watts 2500 isiwe chini ya hapo na gharama zake zitakuwa kubwa kwa mara moja lakini ukisha weka ndio imetoka hutaweza tena kulipa gharama zingine unakuwa umebana matumizi ya kipato chako na hutakuwa tena na matatizo ya umeme maishani mwako unawacha Tanesko kwenye Mataa ya Traffic.MziziMkavu
Vipi ukitaka kufunga solar ya kuwasha kila kitu kuanzia tv fridge na system radio itahitaji watts ngapi kwa makadirio
Mkuu King Kong III Inategemea Solar Panel yako ina nguvu ya Watts ngapi? Kadri itakavyokuwa na Watts nyingi ndipo nguvu ya umeme inazidi kuwa kubwa sanahivi MziziMkavu kuna solarpanel yenye uwezo wa ku run vitu vya ndani friji, tv etc kwa 24Hrs?
Hii inategemea eneo uliopo kijiografia na majira ya mwaka......... Jua huwaka kwa masaa mengi kwa siku. ......
hapana hata kama hamna jua kama panel ni kubwa inakusanya energy tu.Hii inategemea eneo uliopo kijiografia na majira ya mwaka
Post yangu ililenga kile nilichokinukuu tu.hapana hata kama hamna jua kama panel ni kubwa inakusanya energy tu.
na hiyo ni fafanuzi yake kama ndio ulikuwa mwisho wako wakufikiripost yangu ililenga kile nilichokinukuu tu.
hapana hata kama hamna jua kama panel ni kubwa inakusanya energy tu.