Ni Sokwe mwenye jina la ZAKAYO ameagwa na waombolezaji waliokuwa wamekusanyika kwenye Kituo cha Elimu ya Wanyama Pori nchini Uganda.
Mwili wa Sokwe uliwekwe kwenye Jeneza Kisha waombolezaji walipita na kutoa heshima zao za mwisho kabla ya mazishi.
Historia na maisha ya Sokwe huyo ziliweza kusomwa kwa watalii na waombolezaji waliofika.
ZAKAYO ameacha mtoto mmoja - Shaka mwenye umri wa Miaka 17 na wake wawili - Amina na Ruth. Mtoto wake mmoja ambaye ni Yanki alifariki miaka michache iliyopita.
R.I.P - ZAKAYO
Aliandika mwandishi wa gazeti la The New Vision la nchini humo