soksi zinazonuka na kundi la watasha(walami)

soksi zinazonuka na kundi la watasha(walami)

rafikimkweli

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
349
Reaction score
121
Ebwana kuna siku nilikua mualikwa katika kundi la matasha kama 30 hv. Nikaona nitafute jambo ambalo litawapima ubaguzi wao hawa majamaa.

Nikatafuta soksi zangu ambazo sikufua kwa muda mrefu, zinanuka haswa!!!

Nikasubiria time ya kutinga ndani, kusanyiko lilikua katika mduara so tunakaa tukiangaliana, na kuzungumza.

Basi kamanda, nikavua viatu, nikaweka miguu juu ya viatu, kitu kikawa kinatema ile yenyewe.

Majamaa wakawa wananyanyuka kwa kupokezana, lakini mpaka ishu inaisha hakuna aliyetia neno.

Nimekaa zangu kama vile sielewi kinachoendela huku nikichangia mada.

Kimoyo moyo nikawa nachekelea jinsi nilivyo wazingua, gademu zao.
 
Dah . . . kweli this is chitchat.

Yaani mtu unatunza soksi chafu alafu siku nyingine unazivaa tena hivohivo!!! :hatari::hatari:
 
Inaonyesha jinsi gani akili zako zilivyofanana na hizo soksi.
 
Hadithi hii inatufundisha nini?
 
Back
Top Bottom