Sokomoko ndoa za watu maarufu kimetokea nini?

Sokomoko ndoa za watu maarufu kimetokea nini?

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
8,659
Reaction score
9,574
Hivi karibuni na haswa mwaka huu 2023 tumeendelea kushuhudia ndoa za watu maarufu nchini Tanzania zikikumbwa na migogoro kiasi cha kuenea kwenye mitandao ya kijamii, mambo ya faraga yanaanikwa mitandaoni!!!

Watu maarufu na hata wasio maarufu mnakosea wapi?! nini tatizo?

Kuvunja ndoa ya mtu ni jambo linaathiri familia nzima na haswa watoto.

Wanandoa chonde chonde tatueni changamoto zilizopo kwenye ndoa zenu kwenye ngazi ya kifamilia.
 
Maadili ya ndoa yameporomoka, mila na dini hazizingatiwi, watu wanafunga ndoa za maonesho tu, mbaya zaidi harusi zinafungwa za kifahari na anasa kubwa.

Kibaya zaidi wanaingiza watu kwenye kamati za harusi huku wakipanga mchango mkubwa bila kujali kipato cha mtu.

Cha ajabu ndoa haidumu inasambaratika mapema huku walikamua watu fedha kuandaa sherehe ya harusi na send off
 
... watu maarufu? Ndio akina nani hao? Chawa au?
 
Huku kwetu tokea mwaka umeingia yaani ni baraka tele kila wiki lazima tufinye mpunga,watu wanaoana,
 
Back
Top Bottom