Viwanda vinakuja maana hapo ubungo wanatest mitamboJe wameangalia kwa Watanzania?
Kwanini wasingeanzisha viwanda vya hizo bidhaa ili waziuze kwenye hizo nchi?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Yatatokea yale yale ya Kenya.Hii nchi uko inakokwenda inatengeneza vita vya wenyewe kwa wenyewe maana gap la walionacho na wasio nacho linazidi kuongezeka kwa kasi sana. Mwendazake alijaribu kulipunguza lakini huyu hangaya kaja na yake. Anyway time will tell.
Hiyo si sawa maana wataua kabisa viwanda vya ndani.Wanawaletea Guangzhou hapo hapo bongo msihangaike kwenda huko si unajua dreamliner zinakamatwa?
Hivyo viwanda kwanini usianzishe wewe!Je wameangalia kwa Watanzania?
Kwanini wasingeanzisha viwanda vya hizo bidhaa ili waziuze kwenye hizo nchi?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Aisee!...Hivyo viwanda kwanini usianzishe wewe!
Wakiua viwanda, watu wasio na kazi wataongezeka , na panya road pia.. sasa hapo ndio kimbembe kitaanza, hawa viongozi wa bongo wanawaza matumbo yao na vizazi vyao, hawajui kua kwa kufanya hivyo hawatakua salama. Nchi ngumu sana hii.Hiyo si sawa maana wataua kabisa viwanda vya ndani.
Wao walipaswa waje kujenga viwanda ili wananchi wapate ajira, na sio kuleta ready made items
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Na boda2 zinatoka uchina pia.Sisi watanzania tutaendesha boda boda wala hamna shida