Soko la viazi mviringo

Soko la viazi mviringo

Mgamba3

New Member
Joined
Jan 24, 2020
Posts
1
Reaction score
0
Ni matumain yangu mu-wazima wa afya!
Natarajia kuvuna viazi mviringo mwanzo wa mwezi March, yeyote ajuaye soko zuri au kusaidia kupata taarifa ya soko zuri anisaidie/tuwasiliane.
Nimelimia njombe.

Natanguliza shukrani!
 
Hongera sana viazi ni pesa,jitahidi visikutane na mvua za masika,SOKO PAKIA TERUMUSHA BUGURUNI./
Vijana wa ilala,kariakoo,kinondoni wanakula sana chips.
 
Kwahy mkuu unataka kusema kulima bila kujua wapi pa kupeleka mzigo ni tatizo! !so akishajua pa kupeleka mzigo then anafika anakuta soko la hovyo je afanye nini. kilimo ni kujitoa na masoko hua hayaeleweki
Awamu ijayo usilime bila kujua ukauzie wapi,kilimo usifanye assumption .

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom