Mkuu soko la tikiti Maji limebadilika sana!
Siku hizi Dar ndio inapeleka matikiti maji mikoani!
Kwa Mara ya kwanza Jana nimeona Fuso tandam inatoka Dar kwenda Moro ikiwa full Na tikiti Maji!

Kuwa makini na figisu za madalali,bila wao huuz,kesho ungewatembelea ukaongea nao pale buguruni,ilala na sterio kabla ya kuvuna,wanapenda wayafate wenyewe shamba ili wapate zaid