Soko la Nissan extral lazidi kuimarika bongo

salari

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
1,979
3,503
Miaka mitano-saba kurudi nyuma Nissan Xtrail ilikuwa ni gari ambayo watz wengi hawakuikubali sana ikilinganishwa na gari kama Toyota rav4, na ijapokuwa Toyota rav4 ni gharama kwa maana ya bei ukilinganisha na Nissan xtrail bado watz wengi waliipenda sana rav4 hapa naongelea SUV cars. Kwa miezi kadhaa na pengine mwaka 1 uliopita hatimaye Nissan xtrail zinanunuliwa kwa wingi, kwa Dar nimeona nyingi zenye namba za hivi karibuni. Sababu za watu wengi kwa sasa kununua Nissan xtrail ni urahisi wa bei ukilinganisha na gari zingine ambazo ni SUV. Kwa mfano ukiwa na ml 12-14 unapata Nissan extrail za miaka ya 2007 kurudi nyumba. Ilihali gari kama rav4 ile ya engine ya 3s aka roho ya paka ina gharama kuzidi xtrail. Kingine ni kuwa kwa sasa angalau mafundi wanapatikana ambao sasa wanaweza kuziservice hizi gari.

Kiukweli xtrail kwa sasa ni budget suv car! Ingawa pindi mtu anaponunulia yamfaa afanye utafiti wa kutosha ili asijefanya makosa ambayo atayajutia baade! Kwa mfano kwa perception za watz wengi Nissan xtrail zina resale value ndogo!

Je mwanajamiiforums nini maoni yako kuhusu hiki nilichoandika?
 
Kwahiyo watu wanazivumilia kuhusu kuchemsha.
Kuhusu kuchemsha kwa utafiti wangu ni kuwa endapo ikiwekwa coolant ambayo ni recommended na nissan wenyewe, na kama radiator haina tatizo lolote ni ngumu kuchemsha, ila kiukweli engine ya xtrail ni sensitive sana maana si aluminium ile so japo inapoteza joto haraka ila likizidi majanga matupu plus kuunguza sensors kadhaa kadhaa!
Kuna jamaa anayo yeye ameingozea radiator njia kutoka 2 mpaka 6, na huwa anatumia coolant ambazo ni mahsusi kwa racing cars, then huwa anasafisha radiator kila baada ya muda fulani, na zile radiator pipes kaweka ambazo zina kipenyo kikubwa kwa kufanya hivyo anasema xtrail yake haijawahi chemsha na huwa anasafiri safari ndefu mara nyingi mfano Dar-Bukoba.
Kwa hiyo inawezekana kabisaa maujanja ya kuzifanya xtrail zisichemshe yakawa yashavumbuliwa na mafundi kwa hiyo sasa watu hawaziogopi tena!!
 
Sasa unataka watu wanunue mgonjwa waanze kumuwekea hayo madrip kila mahali sio?
 
Ingawa sina uzoefu wa Magari ya Nissan Ila naona ni Bora nissan dualis na Murano kuliko hiii X- trail
Pengine huenda watu wanapenda body la xtrail lilivyo kubwa so means kuna nafasi kubwa ndani maana dualis kwa umbo ni dogo kidogo kwa xtrail
 
Sasa unataka watu wanunue mgonjwa waanze kumuwekea hayo madrip kila mahali sio?
Hapana Don sina maana hiyo ninachomaanisha ni kuwa bado kuna watu wameamua kuwa wajasiri na kuzinunua tofauti na suv zingine ambazo ni bei rahisi pia kwa mfano mazda tribute, honda crv n.k wanunuaji hawa wameamua liwalo na liwe!!
 
Watanzania wengi huwa wanapenda kuongelea vitu ambavyo hawavijui huwezi iongelea nissan xtrail kama hujawai imiliki au ukaongela kutaokana na experience ya mwenzio,

Je unajuaje hao wanaosema zinachemsha labda wana miss use gari, maana kuna watu hawafai pia kama x trail zingekuwa mbovu kama watazania wanavyosema nadhani ilibidi kiwanda kisizalishe.

Cha muhimu gari litadumu kutegemea na wewe mwenyewe ulivyo like mtoto umleavyo ndivyo akuavyo....

1.Usiongelee kitu kama hujawahi kimiliki tuache story za vijiweni

2. Nissan x trail ni gari nzuri sana cha msingi zingatia service as directed by nissan manufacturer usipende cheap spare parts ( hapa ndo pagumu)

Ni mwaka wa nane huu natumia hiyo gari na inatwanga mapori kama kawa tofauti na watanzania wavyosema....
 
Ndiyo maana nikasema "Kuhusu kuchemsha kwa utafiti wangu ni kuwa endapo ikiwekwa coolant ambayo ni recommended na nissan wenyewe, na kama radiator haina tatizo lolote ni ngumu kuchemsha" Je vipi kuhusu 4WD yake hebu tujuze
 
4WD ya hii gari haijawahi niangusha, hizi gari watu wamezipaka tope kweli lakini kwa wanaomiliki wanazijua.

Ukizingatia taratibu zote za utumiaji wa chombo cha moto you can reach 50yrs with x trail
 
Thanks kwa ushuhuda!
 
4WD ya hii gari haijawahi niangusha, hizi gari watu wamezipaka tope kweli lakini kwa wanaomiliki wanazijua.

Ukizingatia taratibu zote za utumiaji wa chombo cha moto you can reach 50yrs with x trail
Bongo watu wamezoea toyota sana nadhani hii pia imechangia sana kuzipaka matope gari zingine kuwa hazifai, kingine wabongo walio wengi hawataki kulihudumia gari jinsi inavyotakiwa na hapo ndiyo sheeda inapoanza kwa xtrail mfano mtu anategemea ile coolant ya kibongo sijui inaitwa simba eti ipooze xtrail!!!
 
Back
Top Bottom