Soko la nguo za Mitumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Soko la nguo za Mitumba

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Fmewa, Dec 17, 2011.

 1. F

  Fmewa JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ndugu zangu habari zenu. Poleni na pilikapilika za hapa na pale za maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa iliyokuwa Tanganyika leo inaitwa Tanzania bara. pia poleni kwa maandalizi ya sikukuu za mwisho wa mwaka.
  Leo nimeona nije hapa jamvini kuomba ushauri kwani naamini fika kuwa kuna watu wana uelewa wa mambo mengi na wahenga walisema penye wengi hapaharibiki jambo.
  Naomba ushauri kuhusu soko la mitumba hapa Tanzania hususani Dar Es Salaam, sina ujuzi wa biashara hiyo lakini ninaweza kupata link ya kuleta mituka kutioka USA lakini nataka nijue soko lake likoje, utaratibu wa kuendesha biashara hii hapa kwetu, na mambo kadhaa yanayotakiwa (do's & dont's, challenges, expectation etc)
  Tafadhali naombeni ushauri wenu ndugu zangu coz niko ktk harakati za kujikwamua ktk umasikini.
  Natanguliza shukurani zangu za dhati kwa wote watakaotoa comments. You any comment is highly valuable and appriciated.
  Nawasilisha
   
 2. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ninachojua kuhusu biashara hii ni kwamba inatakiwa uwe makini kwenye kupata mitumba yenye quality ya juu, na sio kanyaboya. Kama upo DSM tembelea soko la Mwenge na Mwananyamala studio uone jinsi wadada wanavyochangamkia mitumba yenye quality ya juu. So kwa kuanzia nakushauri target group yako iwe wadada kwani frequency yao ya kubadili nguo ni kubwa kuliko wanaume. Wadada shopping ni almost everyday, wanaume shopping zao mara chache sana. Mwanaume akijipenda kupitiliza na kufanya shopping mara kwa mara wanamuita majina kama vile bitoz, mtoto wa mama, sharobaro, mchumba etc
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Soko la mitumba lipo juu hasa kama una vitu vikali. Kuna mitumba inauzwa bei mbaya kuliko nguo ya dukani. Wadada wa tz tunasema bora uvae mtumba maana mwingine mwenye nguo kama hiyo yupo kenya.
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  ha haaa haaaa

  yupo kenya au ni marehemu?
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  hehehe! Kama marehemu basi amemuachia urithi mtu ila huko huko kenya. Lol.
   
 6. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #6
  Dec 18, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,583
  Likes Received: 1,675
  Trophy Points: 280
  Na za watoto pia!
   
 7. F

  Fmewa JF-Expert Member

  #7
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nakushukuru sana ndugu yangu kwa mchango wako huo
   
 8. F

  Fmewa JF-Expert Member

  #8
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ninapenda kuto shukurani zangu za dhati kwa ninyi nyote ambao mmechangia kunipa mwanga ktk hili, bado naendelea kupokea ushauri wenu ndugu zangu
   
 9. Shoo Gap

  Shoo Gap JF-Expert Member

  #9
  Dec 19, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 236
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Vipi utagundua kuwa robota lina vitu vikali? Isije ikawa umekwisha nunua na unapofungua ndo unakuta kuna manguo yaliyochakaa!!!
   
 10. G

  Goodluck kirango 1984 New Member

  #10
  Apr 11, 2016
  Joined: Apr 4, 2016
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Vipi utagundua kuwa robota lina vitu vikali? Isije ikawa umekwisha nunua na unapofungua ndo unakuta kuna manguo yaliyochakaa!!!
   
Loading...