mimi mara nyingi naenda kutembea..huwa nanunua nguo zangu za kuvaa mwenyew..unakuta Jeans inauzwa elfu 23 hadi 25 ya kiganda approximatelly elfu 15 ya kitanzania..T shrt pia unaweza pata kwa elfu 20 ya kiganda kama elfu 12 ya Tz..!! Ambazo wakileta huku unakuta tsht inauzwa elfu 18 hadi 20 ya ki tz, na jeans unapata kwa elfu 25 hadi 30 ya ki Tz