Soko la ndimu na ndizi mzuzu

Soko la ndimu na ndizi mzuzu

borncool

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2013
Posts
226
Reaction score
49
Ninauliza soko la ndimu na ndizi mzuzu. Kuna mzigo upo mbioni kukomaa; kama wewe unajishughulisha na upo interested tuongee biashara vikiwa tayari nikustue ila nijue bei yako kwa plastic ya ndimu na mkungu mmoja wa mzuzu.
 
[/QUOT unazo chede ngapi
 
Nifundishe

Nafkiri ni lugha au maneno ambayo yanatumika sehemu maalum, aidha jeshini au anywhere else kama migodini and so on, wanakuwa na lugha na maneno yao binafsi na watu wa eneo hilo wakiongea wenyewe wanaelewana ila mtu wa nje ya hapo akiskia hayo maneno au hiyo lugha anaweza asielewe hata kidogo.

Hiyo ndio rejesta sikumbuki kama ilikuwa kwenye kipengele cha fasihi simulizi au laa, NIMESHASAHAU.
 
sarufi hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom