Soko la nafaka kwa Dar es Salaam

Entreprenuare

JF-Expert Member
Aug 24, 2019
1,616
1,714
Wakuu mambo vipi,

Naomba kuuliza, kwa Dar es Salaam soko la kuuza mazao ya nafaka kama mahindi, maharage etc. Hilo soko lipo sehem gani?

Kwa mfano, nataka kununua mazao kwa wakulima , na kuja kuuzia Dsm, haja yangu ni kujua mahali pakuuzia hizi nafaka, hasa Mahindi na Maharage.

Msaada wenu.
 
Back
Top Bottom