Habari za mchana wana jf
Nipo Singida mjn natafuta soko la mifupa ya wanyama kuna wakati nilisikia arusha wananunua sana kwa ajili ya kutengeneza vyombo km sahani .kwa yeyote anayefahamu mahali penye soko tujulishane hapa jukwani.
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app