disturbanced
Member
- Oct 27, 2024
- 37
- 38
shukran bossKazi nzuri. Kila la kheri
nipo arusha wilaya ya arumeruUnapatikana wap?
karibu bossAsee
Unalima mwenyewe? Kwanini umetumia picha za kuokoteza na usipige mazao yako mwenyewe?wakuu habari za muda huu...binafsi natafuta masoko ya uhakika ya mbogamboga aina ya broccoli,caulflower,chinesse cabage,red cabage,zucchini pamoja na letuce kwa yeyote mwenye connection may be ya hoteli sokoni au vyovyote karibu tufanye kazi natanguliza shukran zenu. picha za mazao hayo zipo chini.0756763846
Sawa, nikipata nafasi ntakuja kuona hizo bidhaa maana umetuekea picha za Google ambazo sio uhalisia wa bidhaa.nipo arusha wilaya ya arumeru
Unalima mwenyewe? Kwanini umetumia picha za kuokoteza na usipige mazao nd
ndio nalima mwenyewe..picha n za google muhimu umeelewa bidhaa husikaUnalima mwenyewe? Kwanini umetumia picha za kuokoteza na usipige mazao yako mwenyewe?
karibu boss tuwasilianeSawa, nikipata nafasi ntakuja kuona hizo bidhaa maana umetuekea picha za Google ambazo sio uhalisia wa bidhaa.
Ungeweka bidhaa zako ungevutia zaidi watu. Mtu anapoona bidha halisi anapatwa na udadisi zaidi na anaamini zaidi.ndio nalima mwenyewe..picha n za google muhimu umeelewa bidhaa husika
ntalifanyia kazi shukranUngeweka bidhaa zako ungevutia zaidi watu. Mtu anapoona bidha halisi anapatwa na udadisi zaidi na anaamini zaidi.
Picha za kitapeli hizi.deal haivutii tena.kwa nini usiweke za shambani.Bongo bado saanawakuu habari za muda huu...binafsi natafuta masoko ya uhakika ya mbogamboga aina ya broccoli,caulflower,chinesse cabage,red cabage,zucchini pamoja na letuce kwa yeyote mwenye connection may be ya hoteli sokoni au vyovyote karibu tufanye kazi natanguliza shukran zenu. picha za mazao hayo zipo chini.0756763846