mitto Member Joined Jun 8, 2013 Posts 7 Reaction score 1 Mar 23, 2019 #1 Habarini wadau,naomba mwenye info kuhusu soko la maziwa ya mbuzi,ninataka kufuga na nimeona nifanye research ya soko kwanza.nataka kufugia mlandizi,pwani. Natanguliza shukrani. Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini wadau,naomba mwenye info kuhusu soko la maziwa ya mbuzi,ninataka kufuga na nimeona nifanye research ya soko kwanza.nataka kufugia mlandizi,pwani. Natanguliza shukrani. Sent using Jamii Forums mobile app
Imany John JF-Expert Member Joined Jul 30, 2011 Posts 2,937 Reaction score 1,193 Mar 23, 2019 #2 Mbegu nzuri ya mbuzi wa maziwa umejua inapatikana wapi?
mitto Member Joined Jun 8, 2013 Posts 7 Reaction score 1 Mar 24, 2019 Thread starter #3 Ndio mkuu,kuna jamaa arusha wana togenburg na saanen Sent using Jamii Forums mobile app