Soko la mayai ya kienyeji

Soko la mayai ya kienyeji

Mimi niko morogoro kama kuna mtu anayao mayaI ya kienyeji nahitaji kama trey 10 ila.yasiwe ya siku nyingi
 
Kuna group la whassap wafugaji tz nzima jiunge nalo utapata masoko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom