Soko la mayai ya kienyeji

Soko la mayai ya kienyeji

omaa

New Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
4
Reaction score
2
Naombeni msaada kwa yeyote anayehitaji mayai ya kienyeji, mimi niko Morogoro.
 
Mkuu unayauza kwa bei gani..!? nikuulizie kwa wadau hapa dar..
 
Ya kuku wa aina gani ndugu coz kuna kuku wa kienyeji aina nyingi kwa makabila yao
 
C angeacha namb ya cmu huyo mhitaji wa rombo...kwa haraka aseme ni tray ngap kama mtaalam
 
Jamaa yuko anafanya research yake kuona kanma akifuga wa kienyenji na kuuza mayayi atakuwa na dili
 
wana jf mimi niko mwanza nina zalisha mayai 1000 kwasiku ni mayai ya kienyeji mwenye mahitaji ani pigie 0762896618
kila try ni tsh 9500/-
 
Natafuta tenda ya mayai yakuku wa kienyeji pamoja na kuku wa kienyeji
pia mayai ya bata mzinga yapo
 
Back
Top Bottom