Soko la mayai ya kienyeji linahitajika

Soko la mayai ya kienyeji linahitajika

Hepatis B

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
216
Reaction score
189
Soko la mayai ya kienyeji linahitajika haraka. Bei ya jumla kuanzia Tray 10 Chini ya hapo utauziwa leja leja. Mzigo unapitaka mara moja kwa week kama upo serious njoo pm tuongee. Mzigo wa kutosha.
 
Soko la mayai ya kienyeji linahitajika haraka. Bei ya jumla kuanzia Tray 10 Chini ya hapo utauziwa leja leja. Mzigo unapitaka mara moja kwa week kama upo serious njoo pm tuongee. Mzigo wa kutosha.
Pm kufanya nini,?
Hiyo ni biashara weka hapa Bei, utaratibu wa kufikia mteja.
Wapo watakaotaka kutotolesha mayai unakusanya kwa muda gani
 
yakivunjika itakuaje??

Malipo nitafanya yakifika kigoma

Mi nipo kigoma
vip, inahitaji kiasi gani nikuletee me nipo kasulu, nahisi hapo ni karibu kwa usafirishaji,
 
Pm kufanya nini,?
Hiyo ni biashara weka hapa Bei, utaratibu wa kufikia mteja.
Wapo watakaotaka kutotolesha mayai unakusanya kwa muda gani
Bei mkuu ngumu mwingine anataka umsafilishie hadi alipo hapo yeye anachukia mayai mazima bei inatofauttiana ila kama unasafirisha mwenyewe jumla 13500 tray!
 
Back
Top Bottom