Soko la mawe ya Green aventure linatafutwa.

Jul 8, 2017
93
125
Natafuta mtu anaehitaji mawe ya Green Aventure au mtu anayeweza kuniunganisha na soko tukafanya biashara. Mawe haya nnayo mengi na kama yakihitajika zaidi naweza kuyachimba. Mawe yapo Mkoani Manyara-wilaya ya Babati.Karibuni.
 
Jul 8, 2017
93
125Natafuta mtu anaehitaji mawe ya Green Aventurine au mtu anayeweza kuniunganisha na soko tukafanya biashara. Mawe haya nnayo mengi na kama yakihitajika zaidi naweza kuyachimba. Mawe yapo Mkoani Manyara-wilaya ya Babati.Karibuni.
 

stickvibration

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
3,210
2,000
Mkuu hayo mawe ni green tomarine isipokua hapo yalivyo hayajawiva bado kuwa GERM
Ukizama chini zaidi utakutana nayo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom