alfredmsomi
Member
- Aug 29, 2014
- 6
- 1
Habarin, samahani kwa anae jua soko na kilimo cha tikit maji tupeane mwanga kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Asant japo nmejarb kuchek nmekuta uz wakitambo kidogo tangu 2017 na sunajua zama znachangeKuna uzi humu wa hayo mambo ya matikiti,.jitahidi uutafute
Kwa kuanzia utakufaa,.pitia baadhi ya notes..kama una nia.Asant japo nmejarb kuchek nmekuta uz wakitambo kidogo tangu 2017 na sunajua zama znachange
Sent using Jamii Forums mobile app
AsanteKwa kuanzia utakufaa,.pitia baadhi ya notes..kama una nia.
Niko sumbawangaKwa maeneo gani? Yani uko wapi na mzigo wako
Sent from my iPhone using JamiiForums