Soko la mafuta ya alizeti Dar na Pwani

snud95sozie

Member
Jun 9, 2020
18
45
Rejea kichwa cha habari hapo juu, naomba connection ya mahala ambapo naweza pata wanunuzi wa mafuta ya alizeti grade 2 kwa ujazo wa little 20 kwa mkoa wa Dar na Pwani!!

Mafuta hayo yanatoka wilaya ya kiteto mkoani Manyara maarufu kwa uzalishaji wa alizeti!!

Natanguliza shukrani
 
Luke de.Ibson

New Member
Nov 1, 2015
3
20
Rejea kichwa cha habari hapo juu, naomba connection ya mahala ambapo naweza pata wanunuzi wa mafuta ya alizeti grade 2 kwa ujazo wa little 20 kwa mkoa wa Dar na Pwani!!

Mafuta hayo yanatoka wilaya ya kiteto mkoani Manyara maarufu kwa uzalishaji wa alizeti!!

Natanguliza shukrani
Npo mwanza tufanye biashara
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom