Soko la Kuku wa kienyeji na chotara

Soko la Kuku wa kienyeji na chotara

FezzyJoe

Senior Member
Joined
Jun 2, 2017
Posts
116
Reaction score
48
Wakaazi wa Igunga na viunga vyake napenda kuwatangazia soko LA kuku wa kienyeji na chotara linapatikana. Hii ni kwa kuku wa miezi 2 - 3 bei si chini ya 5000 na maongezi yapo.
Njoo PM nikupe namba au tumia fefarobert@gmail.com
 
Naomba kuuliza:
Kuku wa bei ya sh 7,000 hadi 10,000 anakuwa na umri gani kwa wastani
 
Back
Top Bottom