Soko la kuku Dar

YUDITHA

Senior Member
May 5, 2013
154
28
ndugu , jamaa na wapendwa naomba mniambie soko la kuku wa nyama dar limekaaje, upatikanaji wake, na bei zake! tafadhali naomba mnisaidie stock yangu ni kuku 500 nipo Kibaha-mlandizi mawasilian n 0753359245.
 
Tafadhali ndugu kwa anayefahamu soko la kuku dar likoje naomba anijuze
 
ndugu , jamaa na wapendwa naomba mniambie soko la kuku wa nyama dar limekaaje, upatikanaji wake, na bei zake! tafadhali naomba mnisaidie stock yangu ni kuku 500 nipo Kibaha-mlandizi mawasilian n 0753359245.

Ni kuku wa kienyeji au wa kisasa/ broilers? Soko lipo zuri tu. Funga safari uje ufanye utafiti wa soko, njoo utafute wateja mwenyewe..nimewahi kufanya biashara hiyo muda mrefu uliopita tembelea masoko kama Kinondoni msufini pale, soko la kisutu pia, na shekilanho ubungo..hard work pays...tenga muda uje
..niliwahi kusikia kwa upandebwa broilers watu wanaenda mpaka picha ya ndege kugwata mzigo...
 
Kama ni broiler nenda mailimoja kwa wauza kuku hapo stand wakati wa jioni
 
Hii Ndio JF bwana,
Yaani unaleta hoja ndani ya siku moja unatengeneza maisha.
Tuache uvivu ushauri kama huu ni muhim kwa si sote.Muhim ni kukabili changamoto,maana wengine wakishauri wanarudi na kuanza kusema kwamba mbona usumbufu,alaa we umepewa njia muhim ni kujikaza hakunam aisha mapesi
Mbarikiwe Mliomchangia hapo juu.
 
Back
Top Bottom